Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,054
- 2,917
Hahahaha....umenikosha.Wala hujakosea, mabinti wanatongozwa Ila wabibi ni maelewano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha....umenikosha.Wala hujakosea, mabinti wanatongozwa Ila wabibi ni maelewano.
Hahahaaaaa.....una maneno wew....we n mhenga kweliHeheheheheeh si unajua gharama za kuoshwa eehh... Enjoy the swrvice while it last.
Hiyo title imenifanya nije fasta .afu haiendani na uliyoyaandk Kasie
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kusema kweli sijakuta nilichotarajia[emoji23]Hahahahaaaaa sema hujakuta ulichokitarajia....
Tizama video inaendana na title na inajibu swali.
SawaHeheheheheheh polee, usijali wakati ujao itakuwa sawa sawa na unachokitarajia.
Hehe!! Et mkuyenge chapa maziwa😀😀Aisee shem ENDELEA tu kupalilia mahabaMie siko Dar shemejii, niko kwenu aka ukweni napalilia Mahaba hehehehee.
Chezea mkuyange chapa maziwa....
Sawa
But nimegundua we sio muhenga ka unavotudanganyaga.
You are certainly at mid 20's or mid 30's
Sent using Jamii Forums mobile app