Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Holla,
It's a beautiful and a peaceful weekend for Kasie. Ok let me switch the lanes so we can go togather.
Iko hivi, alikuja PM mara nyingi akisema Kasie nimekudondokea heheh nikamwambia kaka hivo ndo unanitongoza!!?
Akapotea baada ya wiki moja akaja PM na ID nyingine ambayo imefunguliwa miaka mingi tuu. Tena akaanza kuniimbisha weeh mwisho akajisahau na kuniambia Kasie nimekudondokea aahahahahaaa nikamwambia hapo ndo umenitongoza??!
Hakunijibu akapotea tena kama mwezi hivi akarudi PM na ID iliyofunguliwa miaka 3 nyuma, akaanza tena kuniimbisha weeeh katikati ya nyimbo zake nikamuuliza, Are you falling for Kasie? Ehehehehehehee badala ya kunijibu akanitumia huu wimbo hapo chini....
Uje hata na ID ingine ujibu hapa mbele ya kadamnasi, is this the reason why you fall for K? Just because others fall for K so do you..?
Somebody tell me why do you fall for K..?