Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,262
- 44,385
Mbona hiyo opera ina load mda mrefu tu n' final haikonect
mbona zile sehem zilizo wazi zingine hauja sema 2zjaze vp au 2naacha wazi 2 kama vile port na costem
unaweza kudownload files??
Mbona mm natumia na hela wanakata.?
Au
wapi nakosea ?
Yan nimefuata procedure zote lakn nikisave baada ya mda inakata yenyewe.
Mzeya mbona mi nimejaribu zote znazngua na line yangu ina sh.2.05 vp wap nimekosea coz zna load kwa muda then zna feli?
umeeka proxy type kama real host? Then proxy server ukaeka 0.facebook.com
alternative install kwanza then zikimaliza kuload kwa net ya kawaida ndo eka hio trick
Thanx mkuu CM, Inafanya kazi, nimetumia UCbrowser.
Vipi mkuu naweza kupata ya iphone.
Mkuu mbona wanakomba hela au ukiwa na sifuri?