Real Talk: Why Money Matters To Women

a relation that has monetary problems is doomed from the start...respect money for wat it cn do for u....this however doesnt mean that u love money....money enables u to pamper nd enjoy lifes pleasures with ur paryner nd thayis important in solidfying the love that exists
 
Raha ubahatike kupata vyote kwa wakati mmoja. Mie mume wangu angekua hana pesa sijui kama tungekua na furaha kama tulivyo sasa.
 
Tatizo si kupenda fedha. Tatizo ni mwanamke au mwanaume anayetanguliza matatizo yake kwanza ndani ya relationship. That's is common "put-off" trigger. Unamjua leo, tayari unajua kuwa she has million of problems before you to solve.

However love goes with Kusaidiana. Kama wampenda mtu utamsaidia kutatua matatizo yake, if she happen to be in some form of problems. Sasa kama unaogopa kumsaidia mtu unayempenda, siamini kama kuna penzi hapo vile vile!
 
Dah!!!! sio kila mwanamke anapenda pesa ila pia wanaume wanakose pale wamapo toa hela kabla hata mwanamke ajaomba so for those after money will eventuall take advantage of the man.
 
. ila hiyo furaha inadumu zaidi maana hatuna maugomvi yanayosababishwa na upungufu wa pesa.

kumbe upungufu wa pesa unasababisha maugomvi eeh... basi kwa wasio na pesa maisha ya mapenzi kwao yatakuwa ni bonge la changamoto
 
kumbe upungufu wa pesa unasababisha maugomvi eeh... basi kwa wasio na pesa maisha ya mapenzi kwao yatakuwa ni bonge la changamoto

cartura
Kutegemeana na maisha mnayoishi/mazingira na majukumu inawezekana.

Pale ambapo kipato hakitoshelezi na kila mmoja anaonekana kuwa na kipaumbele chake binafsi(mambo mengi. . . umuhimu unatofautiana) ni rahisi sana wawili kujikuta wakishindwa kuelewana. Kinachoweza kusaidia kwenye tatizo kama hilo ni uelewa wa mmoja au wote wawili na makubaliano, ila sasa inaweza ikachukua ugomvi kuwafikisha huko. Ila kama pesa ipo ya kutosha kila mmoja anapata anachotaka kirahisi tu.
 
Last edited by a moderator:
Amina baba Ashrat.

hivi ni kweli wote wawili (i.e, baba/mama ashrat) mko humu, au ni ID tofauti zinatumiwa na mtu mmoja..? kama mko wote, that's a great idea ingawa kwa comments za humu ndani sometimes, inabidi kila upande uwe so understanding.....
 
Money is evrythn,bt my boyfriend has nah money and am comfortable wit him coz i know he working hard to get da money!sumtimez women have to be patient coz nathing happens xo suddenly
 
It all starts with Love..even though it is money which pays for rent and all other bills, kwani huyo anaetoa is doing that out of love and affection towards yule anayepewa ingawa yule anyepewa kwake yeye chenye umuhimu zaidi ni pesa na si mapenzi..No love No money..
 
hv ili nijione nina mihela,how much should i have?mana hapa nkijisearch nipo kibaruani na kipato kwa mwez laki,hapo vp nina hela au nikaze?
 
hivi ni kweli wote wawili (i.e, baba/mama ashrat) mko humu, au ni ID tofauti zinatumiwa na mtu mmoja..? kama mko wote, that's a great idea ingawa kwa comments za humu ndani sometimes, inabidi kila upande uwe so understanding.....


Wote tuko hapa, yeye na mimi.

Sidhani kama kuna la ajabu yeyote kati yetu anaweza sema humu maana kutaniana ni jadi yetu.
 
Back
Top Bottom