In love money is not everything but it adds flavour to the relationship,money acts as a catalyst..ni sawa na chachandu kwenye mihogo,love life without money is boring for sure..
lol najua lipo moyoni mwako pia
period!
KWELI HELA NI SABUNI YA ROHOOOOOO, love-money = boaring moments but love + money= sweet and enjoyable moments
b/f or hubby pesa ikikata utamtosa na kuhamia kwa mwingine mwenye ukwasi?
Kusema hvi sijamaanisha kwamba no money no love, nilikuwa namaanisha kwamba ikiwepo inanogesha flani!!! ikiisha Itabidi tu kubaki kumhurumia lakin kuomba Mungu tena iwepo......
Because money can. . .
. . .PAY rent. . .LOVE can't.
. . .BUY food. . .LOVE can't.
. . .BUY clothes. . .LOVE can't.
. . .BUY cars and houses. . .LOVE can't.
. . .TAKE you places. . .LOVE can't.
. . .PAY bills. . .LOVE can't.
. . .PAY school fees. . .LOVE can't.
. . .TAKE you on a vacation. . .LOVE can't.
. . .MAKE people respect you (hata kinafiki) . . .LOVE most probably won't maana hata umpendae anaweza akaishia kukudharau badala ya kukuheshimu.
. . .ENABLE you to look, smell and feel good. . .LOVE can only make you feel good.
Nwy. . .wakati mwingine kuingia kwenye mahusiano kwaajili ya pesa ni rahisi zaidi maana unakua unajua unachokitaka na pia uhakika wa kukipata. . tofauti na mapenzi 'yakweli' ambayo we unaweza ukawa wakutoa tu huku mwenzio akiwa hana muda na wewe. Bila kusahau kwamba wakati mwingine tunajikuta tukipendwa kweli na wale tusiowapenda huku na sie tukiwapenda kweli wale wasiotupenda amna kwa namna moja ama nyingi tusioweza kuwa pamoja. Sasa ya nini kusumbuka na kitu kisicho na uhakika ka vile bidhaa ya mchina? Acha wanaoweka fedha na vitu vingine mbele waendelee tu maana atleast wao wanakua ba uhakika na kile wanachokipata.
Yangu machache mmeshaongea ya kuelimisha jamii bt ukweli wa karne hii Pesa kwanza mapenzi baadae, siku hizi tunaitwa Wanaume suluali kama hatuna pesa na ukitaka upate Mwanamke umpendae kimbizana na pesa vinginevyo tutaishia kusubili zali litudondokeee ambayo ni ndoto za Abun Wasi.
Kuna wanawake wako na principle zao.
Same here my friend, women are very easy to please, their actions depends on the type of man involved....Give her headache, she multiplies it and give you brain tumour.i have been so lucky in my life
to meet women that money is not everything to them....
bt m naamini true luv is inversely prorportional wth money.