Masnitch wangese nyie.....
...Kagame must go to ICC like Uhuru & Ruto...
... birds of same feathers fly together...
..they meet in Nairobi wtf...haituhusuuu....coz they are all victims of ICC....
...by the way UHURU b4 election came in Dar es Salaam kuomba support ya JK..leo anatia kiburi & indoors supporting Kagame....HATUJALI NA HATUTISHIKI.....
...NA KWA TAARIFA YENU KAGAME TUTAMSHIKISHA ADABU...Kagame muuaji mkubwa sana
..Kagame kamuua Hybriamana..
..Kagame kamuua Prof. Mwakyusa aliyekuwa mtetezi wa Washtakiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ...
...Kagame ameua wengi ... leo anatutisha Watz wote... nasema KAGAME WILL SUPRISE...
....TUTAMPIGA TUMEANZA NA M23...SOON TUTAMFIKIA. .WAIT...
...NA MASNITCH NI NYIE...nyambaf...
As funny as it sounds, that a simple advice from Kikwete could trigger such a big rift, not quite. That's not the issue. The real issue is that, Kikwete has been lobbying the west to indict Kagame at ICC for destabilizing DRC. Many leaders in Nairobi calls Kikwete a snitch !
Reliable sources in Both Kigali and Nairobi, have hinted at a possible indictment of Kagame at the ICC for supporting M23 which has been orchestrated by Kikwete
Outburst out of Kikwete's mere advise is just a scapegoat; ICC is the real issue and Kagame henchmen claims that before Kagame is indicted, Kikwete personally, and not Tanzanians must pay a price
Isn't it strange that recently Bashir killed our soldiers in Darfur and Kikwete is cosying up to him as if nothing happened. Kagame has not and will never be a threat to Tanzania.
I am back. Kumbe JK talle-tells on Kagame. I swear hii kitu siyo freash.
I was talking about Darfur. Bashir is responsible for the deaths of our 17 soldiers there. Yet we are cosying up to him as if he is such a good guy. Why buy a confrotation with Kagame? Let us take on Bashir and his murderous regime.I expected your name to be very smart......you could ask yourself if 7 Tanzanians were killed, how many 'rebels' were killed on the spot after arrival of the rescue commando force? If you are really Jasusi I have no doubt you know this. Furthermore, if you are really Jasusi you could have known how Kigali is uneasy with UN Intervention Force
I was talking about Darfur. Bashir is responsible for the deaths of our 17 soldiers there. Yet we are cosying up to him as if he is such a good guy. Why buy a confrotation with Kagame? Let us take on Bashir and his murderous regime.
Jasusi let me ask you, after that ambush in DARFUR do you know how many of the attackers were caught on spot and counter-attacked by rescue commando force? What Kikwete has asked Bashir is to get those responsible for the planning of that ambush, but not the attackers themselves....why...?
Hekaya za abunuwasiNimekuwa nafuatilia huu mgogoro kati ya Rwanda-PK vs Tanzania-JK. Kuna issue haijaguswa bado.
1. Watanzania wanaokosoa kwa nn JK aliongea sielewi wanatumia base ipi kusema hayo. Kwani RAIS watu anapokwenda kwenye vikao vya kimataifa kama EAC, AU au UN, haruhusiwi kuchangia mada? Katiba au miongozo yetu inatakiwa awe bubu kwenye vikao? Tunapojadili suala la Rwanda inatakiwa tuweke pembeni mapungufu ya Ndani ya JK tumjadili on this particular issue. Tusiwe general kuchukua mapungufu yake ktk wizara au taasisi za ndani ndio iwe locus stand yetu ya kwa Kila suala atakalofanya. Ana mazur na mabaya yake Kila moja lizingatie muktadha husika.
2. Tatizo ni Uchumi.
Naona wakenya nao wanajiingiza kwenye huu mgogoro ha ha ha. Issue ipo hv. Rwanda wamekuwa wanawasapoti waasi mashariki mwa Congo kwa mud mrefu Rwanda na PK wamekuwa wanaaiba maliasili kule Rwanda kwa muda mrefu. Sasa Tanzania kupeleka jeshi lake chini ya makubaliano ya. AU na UN imekuwa tishio la kiuchumi kwa jirani zetu kwa muktadha huu. Kama Congo patakuwa na Amani basi PK na jeshi lake hawataendelea kuiba mali Congo. Badala yake kijiografia na kisiasa Tanzania itanufaika kwa kufanya biashara na Congo kuliko nchi yoyote ile ktk maziwa makuu na Afrika mashriki. Ikumbukwe kama Congo kutakuwa na aman basi Congo kuna malighafi na maliasili nyingi na soko kubwa kuliko nchi yoyote sub Saharan Africa. Ili Tanzania kujinufaisha kiuchumi na kibiashara na Congo; yafuatayo yanafanywa amabayo ni tishio kwa wenzetu;
A. Tanzania imekuwa kinara wa kupigania amani na kuisha kwa uhasama nchini Congo.
B. Tanzania inajenga uwanja wa kimataifa mkoan kigoma ili ndege kubwa zinazotoka na kuingia Congo kwenda Dubai na kwingineko zitue pale kigoma kwa sababu za kibiashara
C. Tanzania itafadhiliwa na china ili kujenga bandari kubwa kuliko zote ukanda huu wa pwani ya masharik ya Afrika. Hapa Kenya ndo wanaanza kuweweseka wanaona ni pigo kwa mradi wao wa Bandar ya Lamu
D. Tanzania kupitia china wanaboresha reli ya Tazara na reli ya kati lengo ni kufanya Tanzania kuwa gateway ya central Africa landlocked countries. Ikumbukwe hata hao Rwanda na Uganda wana mradi wa reli isaka via Burundi to Rwanda. Pia Uganda wanataka bandari ya Tanga iboreshwe ili waitumie wao na reli ijengwe kutoka Tanga mpaka Mji mojawapo katika mwambao wa ziwa Victoria kule Uganda
E. ikumbukwe Zambia wanafanya biashara zao kupitia bandari ya dar. Kwahiyo ktk miaka 10-20 ijayo kama miradi hii itafanikiwa na kutumiwa vizur na Tanzania, basi ni dhahiri shahiri uchumi wa Tanzania utakuwa tishio kwa Kenya amabao nao wanaanza kupagawa kumuunga mkono PK. Kwani Tanzania itanufaika kibiashara Zambia, Burundi, Uganda, Congo na hata huyo PK Tanzania ni viable entry/exit point yake kwa bandari kuliko Mombasa.
F. Ukinzingatia mchanganuo huo na upatikanaji wa gesi, mafuta, makaa ya mawe, misitu, n.k Pamoja na Tanzania Geopolitical position
Yake. China wanaona inalipa kuwa mshirika na Tanzania. America ameshituka nae anataka kuwa mshirika zaidi na Tanzania. Vile vile brazil na nchi zingine. Kwahiyo hata uhusiano wa kimataifa wa Tanzania utakuwa mzuri. Ikumbukwe hao marekani na western power ni wagomvi wakubwa wa Rwanda hv karibuni na tishio la uhuru wa Kenya ktk masula ya kupelekwa ICC, hali ikiwa hivyo ndo kwanza watu hao western power wanakula na kulala Tanzania. Kwahiyo hakuna option ni kwa Kenya na Rwanda kuaanza kutuchukia Tanzania. Ndio mwezi ulopita wakakutana pale uganda, museve, kageme na uhuru. Ni viajjenda vya kutushia kuhamisha baadhi ya miradi kutoka Tanzania kwenda Kenya na Uganda. Kwa ufupi niishie hapa
Uzuri Kagame ata-deal na Kikwete personally na si watanzania, nadhani ana mpango wa kum-Habyarimana au kum-Mwaikusa.Hivi, hii issue ya DRC, Mbona SA wamepeleka Vikosi vyao lakini Hatumuoni President Zuma akikesha Kutaka Umaarufu through that, Yuko Busy na Kujenga Nchi yake, lakini wa Kwetu, kutwa kucha kutaka Sifa, Haya sasa, Jusi Clinton nae Kaja Kutembelea Miradi yao Hapa Kwetu.
Wa Tanzania tusikubali Mtu Mmoja kutoka Msoga atuingize Matatizoni
Nimekuwa nafuatilia huu mgogoro kati ya Rwanda-PK vs Tanzania-JK. Kuna issue haijaguswa bado.
1. Watanzania wanaokosoa kwa nn JK aliongea sielewi wanatumia base ipi kusema hayo. Kwani RAIS watu anapokwenda kwenye vikao vya kimataifa kama EAC, AU au UN, haruhusiwi kuchangia mada? Katiba au miongozo yetu inatakiwa awe bubu kwenye vikao? Tunapojadili suala la Rwanda inatakiwa tuweke pembeni mapungufu ya Ndani ya JK tumjadili on this particular issue. Tusiwe general kuchukua mapungufu yake ktk wizara au taasisi za ndani ndio iwe locus stand yetu ya kwa Kila suala atakalofanya. Ana mazur na mabaya yake Kila moja lizingatie muktadha husika.
2. Tatizo ni Uchumi.
Naona wakenya nao wanajiingiza kwenye huu mgogoro ha ha ha. Issue ipo hv. Rwanda wamekuwa wanawasapoti waasi mashariki mwa Congo kwa mud mrefu Rwanda na PK wamekuwa wanaaiba maliasili kule Rwanda kwa muda mrefu. Sasa Tanzania kupeleka jeshi lake chini ya makubaliano ya. AU na UN imekuwa tishio la kiuchumi kwa jirani zetu kwa muktadha huu. Kama Congo patakuwa na Amani basi PK na jeshi lake hawataendelea kuiba mali Congo. Badala yake kijiografia na kisiasa Tanzania itanufaika kwa kufanya biashara na Congo kuliko nchi yoyote ile ktk maziwa makuu na Afrika mashriki. Ikumbukwe kama Congo kutakuwa na aman basi Congo kuna malighafi na maliasili nyingi na soko kubwa kuliko nchi yoyote sub Saharan Africa. Ili Tanzania kujinufaisha kiuchumi na kibiashara na Congo; yafuatayo yanafanywa amabayo ni tishio kwa wenzetu;
A. Tanzania imekuwa kinara wa kupigania amani na kuisha kwa uhasama nchini Congo.
B. Tanzania inajenga uwanja wa kimataifa mkoan kigoma ili ndege kubwa zinazotoka na kuingia Congo kwenda Dubai na kwingineko zitue pale kigoma kwa sababu za kibiashara
C. Tanzania itafadhiliwa na china ili kujenga bandari kubwa kuliko zote ukanda huu wa pwani ya masharik ya Afrika. Hapa Kenya ndo wanaanza kuweweseka wanaona ni pigo kwa mradi wao wa Bandar ya Lamu
D. Tanzania kupitia china wanaboresha reli ya Tazara na reli ya kati lengo ni kufanya Tanzania kuwa gateway ya central Africa landlocked countries. Ikumbukwe hata hao Rwanda na Uganda wana mradi wa reli isaka via Burundi to Rwanda. Pia Uganda wanataka bandari ya Tanga iboreshwe ili waitumie wao na reli ijengwe kutoka Tanga mpaka Mji mojawapo katika mwambao wa ziwa Victoria kule Uganda
E. ikumbukwe Zambia wanafanya biashara zao kupitia bandari ya dar. Kwahiyo ktk miaka 10-20 ijayo kama miradi hii itafanikiwa na kutumiwa vizur na Tanzania, basi ni dhahiri shahiri uchumi wa Tanzania utakuwa tishio kwa Kenya amabao nao wanaanza kupagawa kumuunga mkono PK. Kwani Tanzania itanufaika kibiashara Zambia, Burundi, Uganda, Congo na hata huyo PK Tanzania ni viable entry/exit point yake kwa bandari kuliko Mombasa.
F. Ukinzingatia mchanganuo huo na upatikanaji wa gesi, mafuta, makaa ya mawe, misitu, n.k Pamoja na Tanzania Geopolitical position
Yake. China wanaona inalipa kuwa mshirika na Tanzania. America ameshituka nae anataka kuwa mshirika zaidi na Tanzania. Vile vile brazil na nchi zingine. Kwahiyo hata uhusiano wa kimataifa wa Tanzania utakuwa mzuri. Ikumbukwe hao marekani na western power ni wagomvi wakubwa wa Rwanda hv karibuni na tishio la uhuru wa Kenya ktk masula ya kupelekwa ICC, hali ikiwa hivyo ndo kwanza watu hao western power wanakula na kulala Tanzania. Kwahiyo hakuna option ni kwa Kenya na Rwanda kuaanza kutuchukia Tanzania. Ndio mwezi ulopita wakakutana pale uganda, museve, kageme na uhuru. Ni viajjenda vya kutushia kuhamisha baadhi ya miradi kutoka Tanzania kwenda Kenya na Uganda. Kwa ufupi niishie hapa
Sababu anajua hao waliokuwa wanaishi hapa Tanganyika, wengi wao ni against Kagame. Mfano, JK akikorofishana na Obama, basi watanganyika wote wanaoishi marekani wapewe siku 14 kurudi bongo. Do you think it is fair? siku 14, zitatosha kuuza mali zisizo hamishika? JK = MugabeKikwete hawezi kuionea wivu Rwanda kwa sababu ...yeye sio Kila kitu ....Muda wake ukifika ataondoka kidemokrasia...huwezi kumlinganisha na Rais ambaye haijulikani ataondoka lini Madarakani ....Kagame yeye ni mporaji wa Mali za wacongo na hicho ndicho .....kilichomuuma...Tunatambua Tatizo la ardhi Rwanda na ndio maana Tanzania kwa MUDa mrefu imewaacha raia wa Rwanda ...walime na kufuga...na hata kuwapa uraia Zaidi ya 30,000 kwa wakati mmoja.....na kuna wakati wengine tuliwasambaza mikoa Kama Tabora wapate makazi..........lakini tunafikiri sasa bora tuwarudishe nyumbani Kagame akawape ardhi.........Kuanzia wiki ijayo ...!!!!
Jukwaa hili lianawarundi na warwanda wengi pamoja na wakenya na wao kwa kutunga uongo kumcover rais wao kagame ndiyo kazi yao kwa hiyo hii post ni sehemu ya mango yao hatuogopi wala hatutishiki,
kagame kama ni msafi anahofia nini kupelekwa icc aache ujinga wake.
If what is mentioned here is true, then President Kagame should pay by appearing before of ICC as a lesson to what he has been doing to our fellow brothers and sisters in DRC and a lesson to other greedy African leaders. God bless Africa, God bless TanzaniaKwahiyo sababu hasa hapa ni JK kwenda kumchongea mwenzie ICC ili ashtakiwe?Hata mimi nilihisi kitu maana nilijiuliza sana inakuwaje Kagame achukie hivi kwasababu ya ushauri tu?Kumbe kulikuwa jambo kubwa zaidi ya hili la ADVICE?