REAL MADRID YATWAA KOMBE LA UBINGWA ULAYA KWA MARA YA 11, ZAIDI BOFYA HAPA

pc20

Member
May 28, 2016
24
10
Real Madrid imetwaa Kombe la Mabingwa Ulaya kwa mara ya 11 kwa kuwafunga Atletico Madrid penati 5 kwa 3 baada ya dakika 120 kumalizika kwa sare 1-1
c5a8b3867d56b1e11c126d5cfecc49f6.jpg

huku Atletico wakikosa penati katika dakika ya 47 kupitia kwa nyota wao Antoine Griez mann.
 
Back
Top Bottom