Real Madrid vs AC Milan nani zaidi??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,050
Wale wapenzi wa ac millan na real madrid leo ndio leo uwanja wa sansiro pale wazee wa kazi..KAKA..RONADINYO.,RAUL,...NZIMAA,,NA WANAPOENDA KUONYESHA NANI MBABE KATI YAO.....TUNAWATAKIA MPIRA MWEMA WENYE AMANI BILA FUJO
 
wote hawatabiriki nani ataibuka mshindi kwani timu zao mbovu hakuna kitu.wamejaza majina kibao kati na mbele madrid huku wamesahau kusjaili mabeki
 
UKO RIGHT MPWA...NGOJA TUWAONE
 
wote hawatabiriki nani ataibuka mshindi kwani timu zao mbovu hakuna kitu.wamejaza majina kibao kati na mbele madrid huku wamesahau kusjaili mabeki

hayo ni mawazo ya kocha wenger anayezidi kuzeheka bila kubeba chmps league.
Unapozitaja hizi timu mbili ukae ukijua kuwa unazitaja timu mbili kubwa na zenye mafanikio ya juu barani ulaya.
So huwezi ukakurupuka ooh timu zote mbili zimechoka halafu huna vigezo...
No data no ryt 2 speak...
 
Naona mzee wenger amefulia kimawazo. Ila kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake ndio maana kacomment. Big up mzee!
 
Tuwe wakweli timu zote mbili zimejichokea pamoja na kuwa na wachezaji wazuri, hao Madrid tangu Ronaldo aumie wameshinda mechi moja na tena kwa tabu. Ac Milan nao wapo wapo hawajachukua ubingwa wa Italy tangu sijui 2004-5
 
Usitumie kichwa kubebea masikio.
Wewe na wenzako kina MTM ndo mnachezaga kamari nyuma ya assnail kuwa watabeba ubingwa wakati ndo kwanza ligi inakuwa na mechi 4 tu.
Kwa mtu yoyote mwenye kuujua mpira atakuwa na wasiwasi kwa sasa juu ya uwezo unaokuwa kila siki wa Milan.
Ktk mechi 6 za mwisho za Milan hajapoteza hata moja, kashinda 4 na patulo 2 tu...
Na tukija ktk mashindano haya timu hizi ndizo zenye rekodi na mashindano haya na si manchester, barca wala hao inter...
Chelsea na assnail ndo uharo mtupu
 
Usitumie kichwa kubebea masikio.
Wewe na wenzako kina MTM ndo mnachezaga kamari nyuma ya assnail kuwa watabeba ubingwa wakati ndo kwanza ligi inakuwa na mechi 4 tu.

Dogo vipi bana mbona unapenda kuachia mashuzi hovyo hovyo!!!

Kwa mtu yoyote mwenye kuujua mpira atakuwa na wasiwasi kwa sasa juu ya uwezo unaokuwa kila siki wa Milan.
Ktk mechi 6 za mwisho za Milan hajapoteza hata moja, kashinda 4 na patulo 2 tu...

Sadly, you have mentioned the other two clubs!
 
AC Milan kwa sasa wameanza kucheza vizuri tangu wawafunge Madrid,kupona kwa NESTA kumewasaidia but still kuna tatizo kwenye kiungo
 
hayo ni mawazo ya kocha wenger anayezidi kuzeheka bila kubeba chmps league.
Unapozitaja hizi timu mbili ukae ukijua kuwa unazitaja timu mbili kubwa na zenye mafanikio ya juu barani ulaya.
So huwezi ukakurupuka ooh timu zote mbili zimechoka halafu huna vigezo...
No data no ryt 2 speak...
hivi nahitaji vigezo vipi kuwa navyo au data zipi kuweza kukufanya hujue kwamba real madrid wana beki mbovu kama wewe kweli unafuatilia madrid? wewe endelea kushikiria historia historia.sisi tunazungumzia sasa hivi.
 
Natumaini umeamini maneno ya wenger baada ya mechi
 
Naona bado tunangangania historia tuu, hao Madrid mara ya mwisho wameshinda UCL ilikuwa msimu wa 2001-2. Kwa beki waliyo nayo itakuwa kazi kuchukua kombe.
 
Na pia nakwambia soka bila historia halina radha...
Ni sawa na pilau bila kitunguu swaumu.

Nyinyi mnaleta dharau na kebehi bila kufahamu kuwa timu kama Milan inayoonekana kujikongoja ni timu nzuri ambayo wachambuzi wa maswala ya soka wanaipa nafasi ya kutwaa taji.
fahamu hilo
 
hivi nahitaji vigezo vipi kuwa navyo au data zipi kuweza kukufanya hujue kwamba real madrid wana beki mbovu kama wewe kweli unafuatilia madrid? wewe endelea kushikiria historia historia.sisi tunazungumzia sasa hivi.

Ok kwa wewe mtazamo wako ni timu gani yenye beki imara?
Sasa kwa taarifa yako hata Barca wana beki mbovu lakini still ndo mabingwa watetezi.
Ukae ukifahamu kuwa mpira sio beki, mpira una mambo mengi....
Usikurrupuke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom