Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 268,282
- 1,096,070
Pamoja na marcelo leo wapo macho kuokoa hatari za hapa na pale
Leo sio haba, amejitahid kweli kweli, mpaka sasa ndio ametuweka mchezoni, laa sivyo saa hizi ungekuta tunakimbizana kuchomoa goli