Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,537
- 15,743
- Thread starter
- #37,081
Zidane has called up the whole squad for our trip to Kiev for the final! [HASHTAG]#APorLa13[/HASHTAG]
Tukachukue chetu #13Kyiv is ready to host the BIGGEST CLUB GAME OF THE YEAR!
Nimeangalia na nimesoma wachambuzi wengi wana point upande wa Marcelo kama ndio unapitika zaidi, kisa ni kwamba jamaa anapanda sana kufanya mashambulizi huku akiacha gap kubwa upande wake, lakini ninachokijua ni kuwa Marcelo hajawahi kubadili style yake ya uchezaji na bado hilo gap wapinzani wameshindwa kulitumia, sasa ngoja tuone hiyo kesho itakuwaje,..., [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG].., [HASHTAG]#AporLa13[/HASHTAG]!!In Marcelo We Trust
Nimeangalia na nimesoma wachambuzi wengi wana point upande wa Marcelo kama ndio unapitika zaidi, kisa ni kwamba jamaa anapanda sana kufanya mashambulizi huku akiacha gap kubwa upande wake, lakini ninachokijua ni kuwa Marcelo hajawahi kubadili style yake ya uchezaji na bado hilo gap wapinzani wameshindwa kulitumia, sasa ngoja tuone hiyo kesho itakuwaje,..., [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG].., [HASHTAG]#AporLa13[/HASHTAG]!!
Hahaha.., imekuwa kawaida kwa hawa wajamaa, Hapo media zao watakuwa wanawapamba Liverpool kweli kweli.., yaani kesho tunacheza against the whole World..,All it takes is playing your team’s most-hated rival to win over some new fans