Jese sijui ameridhika kukaa bench? kama sioni akifanya mishe yoyote ya kutaka kwenda angalau team nyingine kwa mkopo ili apate dakika nyingi zaid uwanjani! ! Wenzake walitoka n.a. wamerudi wapo, yeye amekaza tu kubaki,

Jese ni lazy, na kwa ujinga wake atacheza mpira miaka yote bila kupiga hela. Morata mwenzake sasa hivi atapokea mshahara wenye akili, yeye anaendekeza ublazameni. Mwache aendelee kuimba bongo fleva tu.