Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #19,741
Tuamini ipi?
Kama Perez anataka Zidane atengeneze timu yake inabidi amsikilize na aache kusajili wachezaji anavyojisikia.Pogba anapendelea kwenda Real Madrid kuliko United while Raiola anataka aende United anajua atapata hela nyingiKama ni kweli! ! Zidane ametumia busara sana kwa kweli! ! Mino nia yake ni kumkomoa Perez na Real Madrid kwa ujumla, ninadhan na Zizou ameliona hilo!! sasa hiyo pesa awakamue United,
Kante akipatikana atatukua mbadala mzuri tu wa Casemiro, kama club wakifanikisha usajili itakua poa! !
Kwa upande wa Andre Gomez, dau lake ni kubwa sana ukizingatia bado anahitaji kuimprove, pia sio aina ya mchezaji tunayemhitaji kwasasa, kama anahitajika kiungo mwingine kama Vp Zizou ambakize Asensio!!