Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid won €53.5M for winning the CL:

- 15m for winning the Final
- 20m for group stage
- 7m for semis
- 6m for quarters
- 5.5m last of 16. [abc]
 
Binafsi sion kama tuna umuhimu wa kiungo mshambuliaji...badala yake tunahitaji kiungo mkabaji na mbadala wa benzema.....sanjal na mbadala wa uhakika aliye katika kiwango wa carvajal maana danilo hana uwezo aisee....kipa sion umuhimu wala ulazima maana wale tukio nao wako safi kabisa
 
Ata sub ya Marcelo pia n ttzo
 
According to the rumours, Pogba anahitajika kuongeza possession ili kuwe na mashambulizi ya kutosha. Na kama kuna mashambulizi ya kutosha beki itakuwa na muda wa kupumua. Modric atabaki pale pale wakati Kroos atakuwa anapokezana Casemiro kama DM. Fábio Coentrão anarudi kuwa back up ya Marcelo. Vile vile kuna uwezekano wa lonee mmoja labda Álvaro Medrán au Jesus Ballejo akapata promotion pamoja na Marco Asensio (Hii itategemea na pre-season itakuwaje). Swala la striker anasubiriwa Zizou akisema tu, Perez anabomoa benki. Kuhusu magolikipa, news of the day zinasema watabaki wale wale.

Tusubiri tu tuone itakuwaje. In Zizou we trust.
 
James Rodriguez will most likely undergo surgery to fix his shoulder issues. The estimated recovery could be about eight weeks. [AS]
 
Nacho's agent has confirmed that Roma, among other Italian clubs are interested in Nacho, but he's happy at Real Madrid. [TuttoMercatoWeb]
 
Roma wants Nacho as a replacement for their injured player Antonio Rüdiger, They think his cost could be around 7M/8M euro. [La Gazzetta]
 
Nacho's agent has confirmed that Roma, among other Italian clubs are interested in Nacho, but he's happy at Real Madrid. [TuttoMercatoWeb]
Aende aka kuze kipaji ana furahi kukalia bench tu la galatcos
 
According to the rumours, Pogba anahitajika kuongeza possession ili kuwe na mashambulizi ya kutosha. Na kama kuna mashambulizi ya kutosha beki itakuwa na muda wa kupumua. Modric atabaki pale pale wakati Kroos atakuwa anapokezana Casemiro kama DM. Fábio Coentrão anarudi kuwa back up ya Marcelo. Vile vile kuna uwezekano wa lonee mmoja labda Álvaro Medrán au Jesus Ballejo akapata promotion pamoja na Marco Asensio (Hii itategemea na pre-season itakuwaje). Swala la striker anasubiriwa Zizou akisema tu, Perez anabomoa benki. Kuhusu magolikipa, news of the day zinasema watabaki wale wale.

Tusubiri tu tuone itakuwaje. In Zizou we trust.
Uko sahihi lakini hii ya Casemiro kumpisha Kroos bado sijaikubali hata kama mfumo ni wa kushambulia zaidi.
 
News: Real don't want De Gea.

De Gea: "Atletico probably deserved to win the Champions League more than Real Madrid."
 
Marca | "The Curtain Rises & Pogba Appears"

CkizSscXAAEvDzF.jpg:large
 
Real Madrid are preparing a big offer for Paul Pogba, but Juventus are ready to reject any amount of money for the midfielder. [Mediaset]
 
Real Madrid met with Mino Raiola [Pogba's agent]. The club offered Pogba's €8m a year, but Raiola asked for a minimum of €12m.

Juventus do not have the intention of selling Paul Pogba and will most likely not sell him this transfer window. [Di Marzio]
 
Back
Top Bottom