Hello wadau...nawasalimu kwa jina la 11 UCL.....ninaendelea kuwapongeza wote mliokuwa mnaendelea kuchangamsha jukwaa kwa mijadala....kimsingi tumeshachukua kombe la 11....kinachonipa kiburi kikubwa ni morale tuliyonayo katika wakat huu na haswa umoja wa timu....