Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid players won't just play the Final to win the trophy, they want to win it for Zidane too. [as]

Madridista from Munich is cycling all the way to Milan to get to the final.

The 1 who can Make us Champions of Europe tomorrow.

Mkuu ninamtegemea sana Casemiro kufanya kazi kuntu sana pale katikati!! Uwezo wa kupambana na vijana wa Atletico anao, muhimu ni kujiepusha tu na Card za mapema. Kwa upande wa Ramos na Pepe wanajua ni nini cha kufanya !!
 
Mkuu hao wote, Pepe, Ramos na Casemiro wanafanana na card kabla game haijaanza. Tusubiri tuone tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…