Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #17,901
Ehhh sasa huuu ni kutuombea njaa, yani..... Eti..... Basi wewe ma dia ni timu B weweeeedah,nilitamani Ronaldo asicheze
Are you even saying that[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji87]Mungu saidia Real washindwe,wasifunge hata goli moja,Man City all the best
si unajua tena adui muombee njaa,ila Real hata wakipita hapa,lazima wakwae kisiki kwa AtleticoEhhh sasa huuu ni kutuombea njaa, yani..... Eti..... Basi wewe ma dia ni timu B weweeee
Acha basi jamani,ila mechi ya leo kama imepoa vile.Jana ilikuwa mbinde