pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,289
- 3,853
Poa kaka, nashukuru2145hrs kwa saa za africa mashariki mkuu....dakika kumi na nane kutoka hiv sasa
Wewe shika adabu yakoGooooool Aguero
Man city 1-0 Madrid
Hawa jamaa hapa nyuma wanashindana kupewa kadi
toxic9 kaka jaribu kuwa muangalifu.Wewe shika adabu yako
CossovoMan shika adabu yako.Gooooool Aguero
Man city 1-0 Madrid
Benzema kama kaenda window shopping vile