Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Still 60 minutes to turn this around. Three goals needed to stay alive in the league. ¡VAMOS!
 
Wakuu nilikuwa naangalia game ya New Castle vs Man City. Wamedroo goli 1-1. Yaani kwa game Ile Real Madrid wanatakiwa wafocus Tu basi wanaingia kwenye Champion league final.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kabisa
 
Keylor Navas is the only reason Real Madrid aren't down by three or four. Shocking performance by the rest of the team.
 
Good defending by Rayo, midfield yetu iko too open, na makelele ya uwanja huu naona watu wako nervous.
Rayo hawana uwezo wakuzuia pressure zaidi ya mara mbili...nafikiri kuna tatizo kama timu haipandi hivi?!
 
mm najua Derby yenu ni vs Atletico na Barca ni vs Espanyol sasa leo hii timu ikikufunga unadai derby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…