Rapherl
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 3,504
- 2,256
Nakumbuka, ila nina imani safari hii tutawafunga kirahisi tu...Mkuu nakumbuka game ya kwenye uwanja wao last season walitukalia kooni dakika 45 za mwanzo mpaka nilifikiri tungepoteza ile game. Uwanja wao mdogo na mashabiki wanapiga kelele kinoma.
Hatutakiwi kupoteza game kwa sasa....
