Mashabiki wengine wa Madrid ni vilaza aisee .... Unaanzaje kumkataa Ronaldo ??? Mtu anaejitoa 1000% haya taja akifa( sitaki kuzungumzia kuhama) Ronaldo tumuweke nani? Ukimtoa Messi nani duniani anaweza kucheza msimu mzima bila kushuka Kama Ronaldo? Ukiacha Messi nani anaeweza kucheza misimu nane kwa kiwango cha kushangaza Kama cha Ronaldo??? Acheni mambo yenu ... Acheni kujifanya mnajua sana