Thanks Mkuu. Haisumbui sana. Nishaweka mambo flani kwenye ignore list yangu.wembeee & Asprin wote mnakaribishwa hapa kuchangia na kuongea football. Real Madrid supporters are mature enough to handle gentle conversations. Ukiona mtu anatukana kwenye thread hii ujue huyo kapotea reli tu. Inasikitisha baadhi ya watu wako hapa kwa ajili ya kutuharibia starehe, lakini hatuna la kufanya.....Kama ukisoma vizuri pale juu tumeandika: Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
#HalaMadrid
Au ni kwa kuwa tumeshapoteza la liga!?Sahihi sana mkuu
kombe ambalo tuna hakika lipo ndani ya uwezo wetu ni CL tukiongeza juhudi kidgo...ukiangalia game ya juzi...modric alikuwa amechoka sana akawa hapandi mbele kabisa,anapiga back pass tu na siyo kupenya kama kawaida yake...ndo hapo tulipokuwa tunakosea,kwa hiyo kumpumzisha kwa ajili ya marudiano ni muhimu sana,lakini pia ukiangalia hata magoli tuliyofungwa siyo kuwa niya kiufundi hapana...ukiangalia penalt ile navas alishindwa kuwapanga beki wake,hadi anakuja casemiro toka dimba la kati ilihali pepe,ramosi,danilo na modric walikuwa wako ndani ya box...palikuwa na hole pale,goli la pili vivyo hivyo....marcelo anampa mtu nafasi kubwa yakupiga cross ukiangalia pepe alikuwa amesimama tu hajui anafanya nini pale..ramos anaachwa na mtu ambaye anaenda kufunga...anakuja shtuka tayar mtu mpira ushamfikia mguun na yeye anajaribu kuweka mguu kiushahidi,navas pale nae alijisahau kwa sababu alikuwa ana uwezo wakutoka kabla mpira haujamfikia mfungaji...kimsingi baridi ya ujerumani ilitugandisha,wachezaji muhimu walienda shangaa ujerumani....yaan kwa ujumla hautukuwa na madhara ujerumani...ni vyema akawapumzishaAu ni kwa kuwa tumeshapoteza la liga!?
Yap umeeleza vyema lakini naomba utoe maoni kuhusu ile penalty nimeirudia kuiangalia you tube naona kama Casemiro alimkinga na upaja yule jamaa ila refa alihadaika.kombe ambalo tuna hakika lipo ndani ya uwezo wetu ni CL tukiongeza juhudi kidgo...ukiangalia game ya juzi...modric alikuwa amechoka sana akawa hapandi mbele kabisa,anapiga back pass tu na siyo kupenya kama kawaida yake...ndo hapo tulipokuwa tunakosea,kwa hiyo kumpumzisha kwa ajili ya marudiano ni muhimu sana,lakini pia ukiangalia hata magoli tuliyofungwa siyo kuwa niya kiufundi hapana...ukiangalia penalt ile navas alishindwa kuwapanga beki wake,hadi anakuja casemiro toka dimba la kati ilihali pepe,ramosi,danilo na modric walikuwa wako ndani ya box...palikuwa na hole pale,goli la pili vivyo hivyo....marcelo anampa mtu nafasi kubwa yakupiga cross ukiangalia pepe alikuwa amesimama tu hajui anafanya nini pale..ramos anaachwa na mtu ambaye anaenda kufunga...anakuja shtuka tayar mtu mpira ushamfikia mguun na yeye anajaribu kuweka mguu kiushahidi,navas pale nae alijisahau kwa sababu alikuwa ana uwezo wakutoka kabla mpira haujamfikia mfungaji...kimsingi baridi ya ujerumani ilitugandisha,wachezaji muhimu walienda shangaa ujerumani....yaan kwa ujumla hautukuwa na madhara ujerumani...ni vyema akawapumzisha
Kwa mazingira yale ya mtu kuwa free halafu ukaja kwa nyuma hta kama angemtekenya tu kwenye mbavu angejiangusha uzoefu unaonyesha kuwa mara nyingi refa anafunika kuwa ni penalt....na pia refa alikuwa mbali kidogo na eneo lile kwa hiyo kwa namna yoyote ile angefunika tu...casemiro alimuingizia jamaa mguu eneo alilotaka kupiga mpira na jamaa akatumia advantage hiyo ambayo ni mbinu yakimchezo.....kwa mtazamo wangu kwa kitendo chakumuingilia jamaa kwa nyuma na mazingira yakiwa free vile lazima iwe penalt,angalia tena uone pepe na modric walipokuwa wamesimama ndio maana nasema ile penalt wameitaka tu wenyewe kwa kumsakizia casemiro mkuu...Yap umeeleza vyema lakini naomba utoe maoni kuhusu ile penalty nimeirudia kuiangalia you tube naona kama Casemiro alimkinga na upaja yule jamaa ila refa alihadaika.
Uko sahihi nimeitazama kwa kufuata ulivyoeleza nimeliona hilo. Kiujumla hatukuwa na team work kabisa ndo maana Zidane akaamua kuingiza kila mtu ili acheze.Kwa mazingira yale ya mtu kuwa free halafu ukaja kwa nyuma hta kama angemtekenya tu kwenye mbavu angejiangusha uzoefu unaonyesha kuwa mara nyingi refa anafunika kuwa ni penalt....na pia refa alikuwa mbali kidogo na eneo lile kwa hiyo kwa namna yoyote ile angefunika tu...casemiro alimuingizia jamaa mguu eneo alilotaka kupiga mpira na jamaa akatumia advantage hiyo ambayo ni mbinu yakimchezo.....kwa mtazamo wangu kwa kitendo chakumuingilia jamaa kwa nyuma na mazingira yakiwa free vile lazima iwe penalt,angalia tena uone pepe na modric walipokuwa wamesimama ndio maana nasema ile penalt wameitaka tu wenyewe kwa kumsakizia casemiro mkuu...
ni kwel mkuu....usiku ule hakuna cha maana tulichofanya ndo maana me bado moyoni mwangu nina imani kuwa tukiwasha moto kama ule ambao tuliwawashia dortmund marudio wale watoto hawawezi stahimili wale,lazima kipindi cha kwanza tu biashara tushaimaliza....Uko sahihi nimeitazama kwa kufuata ulivyoeleza nimeliona hilo. Kiujumla hatukuwa na team work kabisa ndo maana Zidane akaamua kuingiza kila mtu ili acheze.
Mungu akurehemu.Poa poa na wewe pia say hallow to your mama mwambie kuna nguo alisahau getoni aje achukue
Yap..uwezo upo sana kwa upande wetu, dkk 45 za kwanza tunawapiga 3. Halafu tunamalizia ngwe ya pili kwa kurelax.ni kwel mkuu....usiku ule hakuna cha maana tulichofanya ndo maana me bado moyoni mwangu nina imani kuwa tukiwasha moto kama ule ambao tuliwawashia dortmund marudio wale watoto hawawezi stahimili wale,lazima kipindi cha kwanza tu biashara tushaimaliza....
Upo mkuu....kwanza hawa wataopangwa kikosi cha leo utaona game watalopiga ili warudishe imani kwa mashabiki...Yap..uwezo upo sana kwa upande wetu, dkk 45 za kwanza tunawapiga 3. Halafu tunamalizia ngwe ya pili kwa kurelax.