Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #16,321
Unaendelea kutukana na sitaacha Kutukana paka shume wee.. Kama uliona kosa langu kwanini usitumie lugha ya staha kunieleza!? Jamaa kaeleza kuhusu Madrid kutolewa akishaanza kufungwa kama tulivyofungwa juzi, kakosea miaka mpaka ile tuliyomtoa B.Munich.
Wewe ni kenge Ulikuwa unapingana na mshabiki mwingine na ukamuita yeye juha kisha ukasema Bayern kafugwa 7Unaendelea kutukana na sitaacha Kutukana paka shume wee.. Kama uliona kosa langu kwanini usitumie lugha ya staha kunieleza!? Jamaa kaeleza kuhusu Madrid kutolewa akishaanza kufungwa kama tulivyofungwa juzi, kakosea miaka mpaka ile tuliyomtoa B.Munich.
Zidane anamuamini sana Ronaldo, hata mimi bado namuamini na ningependa nione anaendelea kukaa pale mda mrefu.Zidane's pre-match press conference before taking Éibar at Bernabéu tommorow
Zidane: "Tomorrow there will be rotations to win the match against Eibar, but Cristiano will play, for sure."
"Nobody expected that from the first leg, but football is like that sometimes "
"What encourages me is that I am here every day. I do not think of bad things, I'm positive.".
Zidane anamuamini sana Ronaldo, hata mimi bado namuamini na ningependa nione anaendelea kukaa pale mda mrefu.
#HalaMadrid
Fact
What Cristiano still have?: If he's in a good position and kickin the ball on target, basi hesabu ni goli. Lakini kiukweli ball control imehama, he can't dribble the ball even if he's alone. Flexibility ndio usiseme, anaweza kukaa na mpira ukamgonga anajiangusha chini vijana wanaendelea. Mkataba wake mwisho ni 2017, bora Pérez apige hela kabla haijafika saa 12. Kwanza ile combination yake na Bale na Benzema bora tumalizane nayo msimu huu tu. Washakuwa matajiri, bora waje vijana wenye uchu wa kupiga ball.
Poa poa na wewe pia say hallow to your mama mwambie kuna nguo alisahau getoni aje achukueSasa matusi ya nini? Au ni sehemu gani niliyokutukana?
Kuficha upumbavu wako ni sehemu ya busara.
Say hallow to your mama. Mwambie arudie malezi yake labda kuna sehemu alisahau.
Mimi nimekusamehe. Utajuana na Mungu wako mwenyewe kwenye hii dhambi ya kujitakia.Poa poa na wewe pia say hallow to your mama mwambie kuna nguo alisahau getoni aje achukue
Ninachompendea Ronaldo anakufunga mda wowote...
What Cristiano still have?: If he's in a good position and kickin the ball on target, basi hesabu ni goli. Lakini kiukweli ball control imehama, he can't dribble the ball even if he's alone. Flexibility ndio usiseme, anaweza kukaa na mpira ukamgonga anajiangusha chini vijana wanaendelea. Mkataba wake mwisho ni 2017, bora Pérez apige hela kabla haijafika saa 12. Kwanza ile combination yake na Bale na Benzema bora tumalizane nayo msimu huu tu. Washakuwa matajiri, bora waje vijana wenye uchu wa kupiga ball.
Watu kama hao unawadharau tu.Mimi nimekusamehe. Utajuana na Mungu wako mwenyewe kwenye hii dhambi ya kujitakia.
Mama popote ulipo nakusihi umsamehe huyu mtu.
Tayari mkuu. Nadhani ni matatizo ya umri na maleziWatu kama hao unawadharau tu.
Legend asprin ukitaka kushare mawazo ya soccer usipende kubishana na watoto. Com mikono yao iko special kwa ajili ya kutyping matusi tu so yafaa ubaki kwenye uzi wetu wa liverpool au majukwaa mingne lkn sio barca or Madrid vijana wao wanapenda kutukana mda woteMimi nimekusamehe. Utajuana na Mungu wako mwenyewe kwenye hii dhambi ya kujitakia.
Mama popote ulipo nakusihi umsamehe huyu mtu.
Kiongozi nimeupokea ushauri wako kwa mikono miwili.Legend asprin ukitaka kushare mawazo ya soccer usipende kubishana na watoto. Com mikono yao iko special kwa ajili ya kutyping matusi tu so yafaa ubaki kwenye uzi wetu wa liverpool au majukwaa mingne lkn sio barca or Madrid vijana wao wanapenda kutukana mda wote
YNWAKiongozi nimeupokea ushauri wako kwa mikono miwili.
Ahsanta
Back to YNWA!