Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #16,301
Raul will play at the Bernabeu again. On 5th of June Corazón Classic Match will take place against Ajax in memory of Johan Cruyff [AS]
Real Madrid have identified Ander Herrera (26) as a prime transfer target this summer as the club looks to reshape their midfield.
The Spanish giants view Herrera as a cheaper alternative to Paul Pogba as Madrid face a busy summer.[MARCA]
Nenda kaungane na shoga wenzio huko maana unakatikia ngoma isiyokuhusu. Niliandika 7 agg siyo 7:0 agg ambacho nakubali kukosea ni kuwa tuliwapiga Bayern 1:0 kwetu halafu tukawapiga 4:0 kwao hivyo ikawa 5:0 agg. Ntomwenyu weeUlivyoropoka
Badala ya kunipa jibu unajisahaulisha ukifikiri Jf ni wasap
Nakuonya dogo usifikiri Jf ni Whatsapp au FB acha kukurupuka hapa ni home of great thinker
Mbweha wewe
Mkuu punguza jazba huu ni mpira tuNenda kaungane na shoga wenzio huko maana unakatikia ngoma isiyokuhusu. Niliandika 7 agg siyo 7:0 agg ambacho nakubali kukosea ni kuwa tuliwapiga Bayern 1:0 kwetu halafu tukawapiga 4:0 kwao hivyo ikawa 5:0 agg. Ntomwenyu wee
Ukiweka ugoko naweka jiwe. Eti fact!? fact gani hiyo unayoitaka wakati unalisha maneno yasiyowepo.Mkuu punguza jazba huu ni mpira tusasa mambo ya mashoga yametokea wapi tena Shabiki wa Mpira aliyekomaa hawez ropoka namna hyo japo umeshindwa kwa fact
Ukiweka ugoko naweka jiwe. Eti fact!? fact gani hiyo unayoitaka wakati unalisha maneno yasiyowepo.
Huyu mama anaongea sana, atamponza mwanae. Maneno ya wazazi wa Di Maria na Ozil yaliwaletea watoto zao matatizo. Team ipo kwenye wakati mgumu, watu waumiza kichwa watatoboa vip yeye anatoa povu tu kisa hana nafasi, kwani haoni kiwango cha mwanae kimeshuka? Wazazi wengine bhana.James Rodriguez's future at Real Madrid has been thrown into further doubt after the forward's mother, Pilar Rubio, said it is up to club president Florentino Perez to decide what happens to the Colombian.
She also stressed that his agent, Jorge Mendes, would be involved in any decision following recent links with a £60 million summer move to Manchester United:
"I don't get involved with his footballing future. His transfer situation has always been handed with reservation."
"It is a decision that will taken between Madrid president Perez, James and his agent. He has to play the same and give the same effort no matter what shirt or boots he wears."
To make matters worse, James Rodriguez was seen laughing on the side of the pitch while the team was losing 2-0 and the club isn't happy about it! [Source Jugones]
Mkuu hhebu achana na hao wajamaa., hicho anachofanya ndio kazi yake.Ukiweka ugoko naweka jiwe. Eti fact!? fact gani hiyo unayoitaka wakati unalisha maneno yasiyowepo.
Unaendelea kutukana na sitaacha Kutukana paka shume wee.. Kama uliona kosa langu kwanini usitumie lugha ya staha kunieleza!? Jamaa kaeleza kuhusu Madrid kutolewa akishaanza kufungwa kama tulivyofungwa juzi, kakosea miaka mpaka ile tuliyomtoa B.Munich.Unaweka jiwe sio
Kwa hyo mkuu 0 ndio imekuuma roho sasa kati ya mimi na wewe aliyeleta maneno ya uongo bila takwimu ni nani?? Et Madrid mlimpiga Bayern agg ya 7 alaf unaenda Google unatambua kosa lako bado unakuja hapa na kutuita Mashoga alaf unaongea kilugha sijui ndio tusi japo sielew huo ni ujinga na upumbavu Kajifunze mpira ni nini ndio uje hapa jukwaani sio unabwabwaja lugha chafu
Huyu mama anaongea sana, atamponza mwanae. Maneno ya wazazi wa Di Maria na Ozil yaliwaletea watoto zao matatizo. Team ipo kwenye wakati mgumu, watu waumiza kichwa watatoboa vip yeye anatoa povu tu kisa hana nafasi, kwani haoni kiwango cha mwanae kimeshuka? Wazazi wengine bhana.