Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #15,621
Niseme tu ukweli huwa simpendi Cruyff jamaa alikuwa anaiponda sana Real Madrid na Ronaldo kisa tu kacheza Barca...apumzike huko alipo
The players and coaching team held a minute's silence in memory of Johan Cruyff before the training session.
Zinedine Zidane & Luis Enrique- The Story continues...
Mbona hata hapa kwenye hili jukwaa wengi wanamponda Ronaldo(tena mashabiki wa Real Madrid),Nafikiri hata wewe mwenyewe umeshawahi mpondaNiseme tu ukweli huwa simpendi Cruyff jamaa alikuwa anaiponda sana Real Madrid na Ronaldo kisa tu kacheza Barca...apumzike huko alipo
SijawahiMbona hata hapa kwenye hili jukwaa wengi wanamponda Ronaldo(tena mashabiki wa Real Madrid),Nafikiri hata wewe mwenyewe umeshawahi mponda
Hapa duniani inatupasa tupendane, weka mbali ushabiki wa soka, imani n.k.Niseme tu ukweli huwa simpendi Cruyff jamaa alikuwa anaiponda sana Real Madrid na Ronaldo kisa tu kacheza Barca...apumzike huko alipo