Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #14,921
Levante-Real Madrid is underway! ¡HASTA EL FINAL, VAMOS REAL! [HASHTAG]#RMLiga[/HASHTAG] [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Casemiro amefanya kitu cha ajabu sana kwa kwel.., alaf ni mara ya pili amefanya kujiangusha,
Kweli hapa Zidane itabidi abomoe karibia team nzima, vijana hawasomani uwanjani.. ni Kroos pekee anajaribu kucheza mchezo tuliouzoea, ila hao wengine imekua ni shida, au tatizo kukaa benchi??