Madrid wameshindwa wangapi!!!makocha wenye Uwezo Mkubwa pale wanetimuliwa kwa muda mfupi!!!kuanzia del bosque,pellegrini,ancelloti na Mourinho ndo awe zidane?pale watu huwa hawadumu!!!huwa kuna matatizo mengi yanayofanywa nje ya uwanja yanayofukuzisha makocha!!!zidane anahitaji umakini Mkubwa ili angalau adumu angalau miaka miwili coz pale hata uwe mkali vp kumaliza miaka miwili ni kazi ngumu sana!!wameweza wachache sana