Ben kachemka tuna droo na navilleWhat a joke our defense is... Pepe again, horrible defending. Varane should be starting
Huyu referee wa leo sjamuelewa afanyiwe assesment upya
hata hivyo nafuu ya droo maana hali ni mbaya sana
Really thats why nikafikir majirani zetu wamempa kitu kidogo by the way beki wakati leo kachemka nimemms carvajalHuyu refarii hii ndio la liga yake ya kwanza kuchezesha hivyo anataka kujifanya yeye ni wa kipekee
Ndio anakumbuka shuka wakati kumekucha!! Huyu jamaa ni wa ajabu sana, ninadhan mwenyew ameshaona kua hii club ni kubwa sana tofauti na alivyokua anafikiria.., nadhani ni muda wake sasa kuondoka.., hawez badilika tena.Benítez confirms that Varane was 100% fit to start the match. Leaving him on the bench was a technical decision.
Pepe was responsible for the 1st penalty and in 2nd goal he left Alcacer un-marked.