Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #12,561
‪#‎OFFICIAL‬: Morata's signs a 5 year Juve contract extension. Until an official comment, can't say anything about Madrid's clause.
‪#‎OFFICIAL‬: Morata's signs a 5 year Juve contract extension. Until an official comment, can't say anything about Madrid's clause.
![]()
Huyo dogo mi sielewi hypes za kumrudisha zinatoka wapi. He's not Real Madrid material. And I don't like his attitude. Acha abaki huko tu.
They won't. Dogo mwenyewe hataki kurudi, na Juve hawako tayari kumwachia. Hizo taarifa za Madrid's interests ni za media tuDogo hatufai lakini ndio hivyo kwasababu ni spanish na yuko kwenye NT, usishangae wakalipa ?35M or more.
They won't. Dogo mwenyewe hataki kurudi, na Juve hawako tayari kumwachia. Hizo taarifa za Madrid's interests ni za media tu
I can't see Cristiano leaving as long as it's still FloPe calling the shots. I like Perez for Madrid big time, sema it's high time angeenda tu. Tupate mtu wa mpira. Perez anaendekeza hisia binafsi mno.Bora iwe za media tu, kwasababu sasa hivi pale wanaondoka Ronaldo na Jese watakao replace lazima wawe strikers wenye akili, lakini kama ndio Morata na Vazquez zile banners za njano mbili za Perez out zitakuwa all over Bernabeu.
I can't see Cristiano leaving as long as it's still FloPe calling the shots. I like Perez for Madrid big time, sema it's high time angeenda tu. Tupate mtu wa mpira. Perez anaendekeza hisia binafsi mno.
Wale kina Bale, Cristiano wa kuuza fasta kabla dunia haijastuka kuwa wako overrated.
Hela wanaingiza zaidi ya tunayowapa. Sema tu uwanjani ndio maudhi. Perez is hard headed tu. Ngoja tuone lakini. Tuna game na Bayern leo badae.Jamaa wanatuharibia timu. Wanakula hela nyingi hakuna wanachokifanya, sijui Perez hana washauri
Hela wanaingiza zaidi ya tunayowapa. Sema tu uwanjani ndio maudhi. Perez is hard headed tu. Ngoja tuone lakini. Tuna game na Bayern leo badae.
Si wa kupuuzia. First round game, tulikuwa home na shot ya mwisho ndio ilitushindia game. Leo wako kwao. Na msimu hatuna ile drive ya last season. We won it all, so the boys wako a bit relaxed.Game ntaiangalia, ni saa mbili usiku hapa. Lakini Beyern wako sawa?
Si wa kupuuzia. First round game, tulikuwa home na shot ya mwisho ndio ilitushindia game. Leo wako kwao. Na msimu hatuna ile drive ya last season. We won it all, so the boys wako a bit relaxed.