Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Eight players in the Real Madrid's squad already know what it is like to score against Catalans
12246651_1102310909793668_8115346940219205963_n.jpg
 
Salamander and Paulo Sergio De Souz pokeen like kwa post zenu maana hawa jamaa wamegoma kurudishe kitufe.....

Tall mimi pia sina hicho kitufe. Vilevile siwezi ku-update kila kitu maana copy and paste haikubali, siwezi ku-upload baadhi ya picha au video za Youtube ndio kabisa. Post hapa zinaingia kwa bahati tu lakini nyingi zinakataa na ukishapost uwezi kufanya editing tena. Hii JF ishakuwa ya kichina.
 

Tall mimi pia sina hicho kitufe. Vilevile siwezi ku-update kila kitu maana copy and paste haikubali, siwezi ku-upload baadhi ya picha au video za Youtube ndio kabisa. Post hapa zinaingia kwa bahati tu lakini nyingi zinakataa na ukishapost uwezi kufanya editing tena. Hii JF ishakuwa ya kichina.

hahahhahhahhahahahahahhahahha....ni kweli,nina wasiwasi waliopewa kazi yakusimamia mambo ya ufundi hawana uweledi na hzi kazi wanabahatisha....sasa katika kubonyabonya wanaharibu halafu hawawezi rudishia kama awali...walituondolea access yakupata notification kwenye simu hadi leo hakuna....sa hivi wameondoa like,yaan inakuwa kero sasa
 
Great news from AS:

-Keylor Navas is back. Will play El Classico.

-Marcelo and Carvajal will both start.

-Benzema could also feture in the game #Hala Madrid

That's some great news. Only way it could get better, ni Cristiano au Bale, mmojawapo aumie leo.
 
Mkuu i don't like those players lakini kwa hii hali ya sintofahamu ya Benzema hao watu tutawahitaji wapige mishuti yao na mibio kuwavuruga kina shakira
Kuwa nao wote uwanjani ni disaster tu. Cristiano hawezi hata ku-control mpira. Bale anakimbia tu bila plan.
 

COPE | Benitez wants to start Casemiro in the Clasico.


- Danilo might start ahead of Carvajal.
 
COPE | Varane is very affected by Paris attacks but is ables to fucus on El Classico and will start

11988671_1102614693096623_7587140606453409389_n.jpg
 
Kuna video ya bwin, Bale anaongea yuko fit na tayari kwa pambano, na Cristiano leo kutwa nzima anapiga mbio Valdebebas. Yaani hao watu lazima wawepo uwanjani.
Hao jamaa ni stress tu kuwaangalia. Bora hata wacheze kina Cheryshev
 
Hao jamaa ni stress tu kuwaangalia. Bora hata wacheze kina Cheryshev

Sometimes naona jamaa bora wauzwe tu, huu mpango wa mchezaji kuwa untouchable ni wa kizamani na wanatuharibia hali ya mchezo tu katika squad. At least mmoja aanzie nje. Mi ningekuwa kocha ningechezesha James na Casemiro pamoja.
 

The full squad is training in Valdebebas including Danilo & James. [@DAlvarez1976]
 

Out of respect for the victims of the Paris attack, there will be no mosaic at the Bernabeu for the Cl?sico. [@JLSanchez78]
 

Via @Cope


- Benzema will play Clasico.

- It's been decided that Ramos will play against Barca and then will have shoulder surgery which will keep him out for 2 months.
 
Back
Top Bottom