Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #11,581
Frankly, I'm praying this will be Cristiano's last season with us. Dude's passing and dribbling are the wackest ever seen. Even worse, he's a primadonna.
Yes brother. Sema jamaa uwepo wake bado una umuhimu mkubwa. Anafunga magoli mengi, na analeta hela nyingi sana klabuni. Basically, ana faida.I said it once and i will say it again imefika time huyo jamaa apigwe bench au auzwe anazingua sana these days yupo yupo tu
Yes brother. Sema jamaa uwepo wake bado una umuhimu mkubwa. Anafunga magoli mengi, na analeta hela nyingi sana klabuni. Basically, ana faida.
Ni kuwa tu anatukera mashabiki wa mpira. Nadhani ni vyema apangwe kama number 9, asimame golini tu.
Azomewe ili anune kama kawaida, auzwe.Uzuri wa Bernabeu they don't give a damn wataanza kuzomea very soon
Azomewe ili anune kama kawaida, auzwe.
Jamaa ana tabia flani huwa za ajabu tu. Sema ni cash cow.Juzi alikuwa frastrated bila sababu, sijui jamaa ana emotional problems au vipi. Aliharibu moves muhimu mwisho nikasikia watu wanatapika huko majukwaani. Bernabeu wakimchoka ndio itakuwa booonge la drama hata lile la Bale mwaka jana halitoshi we subiri tu.