Nikiangali takwimu za hivi karibuni hawa jamaa wamepiga on target chache sana kuliko sisi na pia off target ila wameweza kuzitumia vizuri,tatizo tulikuwa tunafanya kwenye nmarking...I hope this time tutawashughulikia kwa sababu safu yetu ya ulinzi ipo imara sana...