Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #10,921
Dates of all the group matches of the 2015/16 Champions League.
​huu uzi umekaa kigundugundu....
​hala madrid......group stage tayar tumepita sina wasiwas hapo
​huu uzi umekaa kigundugundu....
Let's see perfomance yetu kwenye la liga kwanza ndio tufanye prediction ya ECL kwasababu PSG is one of the best team in Europe for now. Na wale jamaa wa Ukraine sio wa kuwadharau, watakomaa hasa wakicheza kwao.
Mkuu msimu huu una pressure sana ya mafanikio kwetu,kuna mambo ambayo naona yanawapa hasira za mafanikio wachezaji wetu na club kwa ujumla...ukiangalia tumetoka kapa msimu uliolipita,leo mjomba ronaldo kalamba sakafu kama ilivyotegemea(hata mm nlitegemea hilo)..kwa hiyo naipa nafasi kubwa sana madrid kwa kuwika msimu huu,na wachezaji wetu kuwaka msimu huu..note my words...Let's see perfomance yetu kwenye la liga kwanza ndio tufanye prediction ya ECL kwasababu PSG is one of the best team in Europe for now. Na wale jamaa wa Ukraine sio wa kuwadharau, watakomaa hasa wakicheza kwao.
​Nauchukulia kama ni rangi iliyokaa kinyonge hivi,unajua rangi zina percent za ushindi mbele ya adui....Kwanini mzee? Mi ndio naoukubali zaidi msimu huu.