Hahaha. Najua Madrid ni club ya dunia. Hata usiwaze.
Tatizo letu halipo kwenye magoli. City walikula 4 pale, na tungekuwa serious zingeongezeka. Magoli yatakuja tu, na yakianza ni balaa. Tuna Cristiano, Benzema, Isco, James, Modric, Marcelo, Ramos, wote hao wana uwezo wa kufunga. Tunahitaji muda kidoogo kupata rhythm, then it's game on. So far mpaka naenda kulala jana, hakuna team yoyote kwenye liga ilikuwa na goli zaidi ya 1.
Vipi Benzema mnamuachia aende kwa Wenger?
Benzo haendi popote. Ila ikitokea tukamuachia, then tunamleta Reus.
Vipi Bale? Ila na magazet nayo ya Spain kelele mingi kama ya Kule kwetu kwa Malkia......
Bale ni kumuombea tu apate tezi dume aache mpira.
Magazeti yetu unamaanisha AS na Marca sio? Kama ni hayo, yanapiga kelele zenye tija kwa Real Madrid. Yale ya kule kwenu ni kama ligi yenu tu kwa ujumla, kelele zisizo na msingi. Ndio maana nakumbia mara kwa mara uhamie huku.
Vipi Benzema mnamuachia aende kwa Wenger?
Bale ni kumuombea tu apate tezi dume aache mpira.
Magazeti yetu unamaanisha AS na Marca sio? Kama ni hayo, yanapiga kelele zenye tija kwa Real Madrid. Yale ya kule kwenu ni kama ligi yenu tu kwa ujumla, kelele zisizo na msingi. Ndio maana nakumbia mara kwa mara uhamie huku.
katika kipindi nilicho idharau marca ni msimu huu wa usajili, nilikua radhi niiamini MD kuliko marca, walikua hawaeleweki kama homa ya msimu, asubuhi watatoa habari hii jioni wataigeuza tena.
Kwa mfano?
mfano habari za de gea leo watatuambia next week anatambulishwa, hata kabla next week haijafika utawasikia benitez karidhishwa na navas, kesho utawasikia tena de gea kutambulishwa kabla ya j5 ijayo,
siku niliyochoka no siku rais wenu kamfuata Ramos China wakatoa video kwamba uhusuano wao umekufa kabisa (point of no return) baadaye wakatoa tena Ramos 2020.
na ukiangalia habari za de gea kila siku in hao hao tu wakati manure walishatoa msimamo wao na wamekaa kimya. mendes kaenda kukamilisha deal la otamend to man city wakaleta zingne eti atakamilisha na la de gea huko huko, baadaye wanakuja kumuona yupo Hispania kumshughulikia pepe.
Haha. So far so good. Rafa ni bora zaidi ya Carlo Ancelotti. Jana ni wachezaji tu walikuwa rusty, sio makosa yake. Shots zote golini walikuwa wanampa kipa alipo. Bado nina imani na Rafa.
Unafanya assesment ya Benitez na Ancelotti kwenye pre-season na baada ya mechi moja? I know una personal beef na Ancelotti
Tumedroo sisi, wasiwasi unaona wewe. Siwezi kukimbia Real Madrid hata siku moja, but just do me a favor, don't mention me in your thread, I have nothing to do over there.
Maskini Benitez unawafanya watu wakose aman
And the funny part is entertaining playing Gareth bale in free role position while he has got five players (Isco, James, Kovacic, Modric, Kroos) in his squad who are naturally playing in that position. Yet anaenda kumchezesha Jesse kama lone striker, wakati yeye mwenyewe tuu hata assist hawezi kutoa mtu ashinde. Cha kushangaza zaidi, katika first eleven, Jesse ameanza instead ya james.? Kwa madrid ya sasa James is irrepleceale, Ronaldo hawezi kuperform pasipo mtu kama James & Benzema on pitch.
Kaja na formation yake timu inaonekana kama inacheza " tobo bao " . First half tuu twachezaji wamepoteza zaidi ya pasi 110 kati ya 450 tulizopiga. Msimu huu Tutamkumbuka Don Carlo.
Huyu kocha inaonekana kaja na majina ya wachezaji mfukoni, Siyo bure.