Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #10,601
Kiko Casilla, Casemiro, Vazquez and Cheryshev are being presented at the Bernabeu. ‪#‎WelcomeBackToRealMadrid‬
I'm sick of this Arbeloa, sasa anapasha anataka kuingia wapi?
Haha.. Basi Man u wakikumbuka hii tendency ya kutuandalia vifaa inawauma.Hahahaha dah! Hilo swali ulivyoliuliza mzee.
Nilishindwa kucheki game yetu. Ikabidi nibaki kumuangalia kijana wetu Memphis Depay. Anakuja vizuri. Tumpe kama miaka miwili hivi.
Hahahaha dah! Hilo swali ulivyoliuliza mzee.
Nilishindwa kucheki game yetu. Ikabidi nibaki kumuangalia kijana wetu Memphis Depay. Anakuja vizuri. Tumpe kama miaka miwili hivi.