Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,120
- 4,788
Kovacic ni bonge la midfielder. Aina yake ya uchezaji ni exceptional. He can dribble with pace for long distance. Zaidi ya yote ana uwezo wa kudribble kukatiza katikati ya uwanja. Hii maana yake ni kwamba inaoffload duties za james na kumfanya aconcentrare zaidi katika final third ya uwanja.
Bravo signing kwa msimu huu.
Bravo signing kwa msimu huu.