Kwa mtazamo wangu kumfunga bayern ya guardiola ni rahisi sana kuliko kuifunga azam ya stewart,maana mfumo wao unajulikana,hapa mwendo ni ule ule mpera mpera pasi mbili tupo golini...
Huyu si ana roho mbaya kama mswahili...ana ana roho ya chuki zakudumu na mapenz yaliyozidi mahaba na anahaki zakuzungumza hivyo maana tulinyoosha nje ndani