Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

CLKd1B5XAAI2-e-.jpg
 
Tukifingwa hii game Perez lazima apanick. Utasikia kamnunu Chicharito na Wayne Rooney, hahaha.

Hahaha, yaani hii game natamani iishe tu hawa jamaa wakafanye issue zao, hata siangalii kwa raha. Muda mwingi natumia kusikiliza maswali.
 
Back
Top Bottom