Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #981
Kipute cha final game kimeanza.
Game itachezwa Marrakech saa mbili na nusu, kwa saa za Afrika mashariki itakuwa saa nne na nusu.
Nliikamua mwanzo mwisho ila ilianza saa nne na dakika kama kumi hivi...tulistahili kushinda,wale jamaa wanapiga viatu hatar kabisa.