everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Hahaha, ingekuwa ameanza hayo mambo leo, ningeamini hicho unachosema.
Sasa si ndo anazidisha ili mchoke kabisa.....
Hahaha, ingekuwa ameanza hayo mambo leo, ningeamini hicho unachosema.
Sasa si ndo anazidisha ili mchoke kabisa.....
Kweli ile ni makusudikally kabisa yaani huyu jamaa hawataki kabisaa .....tupatien tu.
Hahaha, acha uchonganishi. Hivi timu zako zinacheza kesho against each other, au nimeona vibaya?
Kesho bana acha tu!!! Lakini kesho pure Red nipo tayar kwa lolote......
Guess who's wearing the armband now, the freakin cone. FML!
Wanatakiwa wachezaji 23 tu pale. Huyu lazima panga limkute.
Hahaha, nakuonea huruma kweli. Sema mtashinda.
Arbeloa je amumtaki? Yupo tu pale anajaza nafasi kwenye bench hata wachua misuli wanakosa pa kukaa.
Mhhh!!! Nitaongea siku nyingine......kuna kitu nimeona.....