Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #9,641
Marca | Benitez & staff are using a special machine in training: tracks players' moves, distance ran, heartbeat etc
Salamander,huyu kamanda anatua kweli ? au ni jamba jamba za kutuweka roho juu?
Real Madrid line-up with Reus......
![]()
Salamander,huyu kamanda anatua kweli ? au ni jamba jamba za kutuweka roho juu?
E bhana umeiona tweet ya AS, eti Arbeloa is still trying to hit the crossbar. Yaani nikifikiria bado nacheka mpaka sasa, jamaa wana utani wa ngumi.
Yaani ni hivi, jana baada ya mazoezi ilikuwa mpaka mtu agonge mwamba wa goli ndio anaondoka uwanjani. Sasa mpaka wenzake wote washaoga maji, wanafanya shughuli nyingine, Arbeloa bado hajangonga mwamba, mipira yote inenda hewani.
Heeeheee , hello fellas. Kitambo sana sijaibuka kipande hiki. Machungu ya trophyless season yamepungua now.