Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #9,541
Wow well Ashley Cole really changed a lot...
VozPópuli | Real Madrid are in very advanced talks with Ezequiel Garay. Ramos doesn't appear to be leaving, but Real wants to add more depth.
![]()
The sure Tackler. Si tulimuuza wenyewe huyu? Sasa saivi tutapigwa hela ya ajabu tu kumrudisha.
Sijaangalia game kutokana na mazingira nliyopo...vp wadau,how it was,katika wachezaji kucheza kitimu,wale walioanza na walioingia kama sub?maana msimu jana tulikuwa na kikosi kidgo hadi aibu...vipi tunaonyesha uelekeo kuwa tumejifunza jambo kutoka kapa msimu jana??
Bale still the same, alikuwa anakimbia na mpira at the end pasi hajui anampa nani. Cristiano mipira ilikuwa inamgonga tu, watu wanachukua ye anashika kiuno. Jesé alikuwa anatimua mbio bila mpira. Kroos na Modric walicheza vipindi tofauti lakini wana akili timamu. Watoto wadogo wengine tuwape japo game mbili ili tuwatathmini vizuri lakini bado sioni sababu ya Illara kuwepo uwanjani. Marcelo alicheza vizuri kipindi cha kwanza. Kipindi cha pili nyota alikuwa Isco. Ukiondoa Arbeloa, beki nyingine zote zimetulia. Nashindwa kuelezea mchezo, lakini ndio hivyo lazima waletwe watu wenye akili pale. Navas akipewa play time msimu huu, De Gea akae huko huko aliko.