Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Well Son, this is why they hate us
huyu jamaa mbona msumbufu sana. Aende zake tu maana ashajiona Rubi sana.Sergio Ramos has broken all the negotiations with Manchester United and will stay at Real Madrid. [@LucaMattiacci]
First training session of the 2015-16 season, soon burudani inaanza upya. Hizo outfit we cha tu bro.
huyu jamaa mbona msumbufu sana. Aende zake tu maana ashajiona Rubi sana.
Itakuwa babkubwa sana. Mungu akijalia safari hii sitakosa game hata moja. Last season nilikosa kama 10 hivi, ukijumlisha mpaka pre-season. Nyingine nilisusia kwa sababu ya Carlo.
The Benzo
![]()
Jana alikuwepo Valedebebas kwenye meeting anajichekesha, traitor tu huyu.
Mi ntajitahidi sana lakini bado ratiba zangu sijui zitakuwaje, maana nahama hapa, new country new job. Na wanasema mechi nyingi msimu huu zitachezwa 18:30 (CET)