Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

La Liga match ball 2015/2016

1979545_1027413170616776_3380345086064223229_n.jpg
 
Lakini wanasema jamaa in person ni mtu poa halafu ni mtu wa kujituma sana, wachezaji wengi pale Valdebebas wamekiri wenyewe kwamba wamebadilika baada ya kumuona jamaa anajifua kama Mike Tyson. Wanasema baada ya zile away games squad huwa inarudi kwa ndege usiku na wanafikia Valdebebas alfajiri, wakati wenzie wanaenda kulala yeye anaunganisha mazoezi moja kwa moja.

Kweli jamaa anajituma balaa, ila bado mzushi na tabia zake za kununa nuna bila mpango.
 
Kweli jamaa anajituma balaa, ila bado mzushi na tabia zake za kununa nuna bila mpango.

Jamaa kila game kwake ni big match na huwa anakamia kiukweli, sasa if it happens he didn't score au akiwa na bad game na matokeo mabaya anakuwa na ile emotional frustruction caracter, kwavile kamera zote zinammulika yeye ndio watu wanasema kanuna. Anyway, hata mimi siwezi kuwa karibu na mtu ambae hawezi ku-handle the situation ni annoying kwasababu kwenye maisha kuna ups & down haiwezekani we kwako iwe kila siku sherehe tu.
 
kitu kingine, a Real Madrid captain should at least give a F about the club, jamaa yupo pale kwa sababu tu tunamfanya ang'ae. Huyu jamaa analinganishwa na Messi leo hii, kwa sababu anacheza RM, and he knows that. Angekuwa club ingine, angewekwa level ya kina Hazard.
 
Man Utd are reluctant to raise their €40 million bid for Sergio Ramos as they do not want to pay over the odds for the Real Madrid defender. [ESPNFC.COM]

i
 
kitu kingine, a Real Madrid captain should at least give a F about the club, jamaa yupo pale kwa sababu tu tunamfanya ang'ae. Huyu jamaa analinganishwa na Messi leo hii, kwa sababu anacheza RM, and he knows that. Angekuwa club ingine, angewekwa level ya kina Hazard.

Lakini I don't see Ramos going anywhere, He doesn't have that cojones. Kitu kitakachofanyika Perez atamuongeza laki tano akachore tattoos nyingine na ndio yeye atakuwa captain. Kinachoendelea hapa ni typical spanish drama tu, ooh it hurts so much, but I still love you, I'm going to the kitchen to make you sandwich, kwisha habari yake.
 
Hahahaha dah!

Perez anataka RM iwakilishwe vyema La Roja, na Ramos ndio next Captain wa kule pia, so he's not going to let him go, not so easily.
 
SPORT | LVG is "angry" with David De Gea over the Real Madrid transfer saga.
 
MIRROR | Liverpool's attempts to restructure their squad show no signs of halting, with reports suggesting the club are ready to step up their interest in Real Madrid midfielder Asier Illarramendi this week.

- Sources close to Real" have apparently claimed that a £15 million bid has now been tabled.

1421917974_extras_noticia_foton_7_1.jpg
 
Marca | If all goes well, De Gea transfer saga will end this week.

De Gea wants to get everything sorted out as soon as possible in order to avoid reporting for duty on 6th July, something Louis Van Gal has assured all his players must do.

Real wants him to be ready for the China and Australia tour.

5042.jpg
 
El Confidencial | Benitez won't decide on Sergio Ramos' situation, and will leave it up to Perez and the board.
 
Sky Sports | Manchester United have reportedly made a second bid for Sergio Ramos after their first official offer was rejected by Real Madrid.

The Spain international has also reportedly asked to leave the Bernabeu as interest in his services rises.

The bid is reported to be £28.6 million.

video-undefined-1E0BAF6A00000578-481_638x360.jpg
 
Sky sports | confirms that Sergio have told Real that he wants to join Man United.

11702940_1027614003930026_4570570793951262569_n.jpg
 
Now that Madrid know that Ramos wants to leave they'll soon start negotiations with Man United. Madrid wants more than £40m for the Spainard. [@GaffneyVLC]
 
Sky sports have confirmed that United have officially launched a bid of €40m for Sergio Ramos.
 
Cristiano is restless with the situation of Ramos and Iker Casillas. [Cuatro]
 
Back
Top Bottom