Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread


Angalia na source yenyewe man, is it reliable?? Hell no. Kungekuwa na upuuzi kama huo, Marca na As wangekuwa washaisema kitambo na Ramos anafunga safari by now, huwezi kuwa katika hizi clubs 2 halafu utingishe kiberiti kupitia club moja wapo na wakulambe, sio Madrid. Simply hao wanatumika kuleta migogoro Madrid, we all know who they support.
 

Belo what's going on with you? Yaani hiyo ndio source ya habari yako? Halafu usifananishe maneno yako na issue ya De Gea, Barcelona will be the last club Ramos could join, bora hata umuhusishe na Sevilla kuliko kwenda kujivua nguo Catalunya. Kinachofanyika pale ni makubaliano na wala si kumbembeleza mtu kuna wachezaji kibao wabeba madaruga yao wameondoka itakuwa Ramos, hutaki kusaini unaambiwa ADIOS, kuna wachezaji wanaitaka ile nafasi wewe.
 

@ElPartododelas12 | The contract renewal talks between Florentino Perez and Ramos have broken down.


- Perez is offering him €7m/year but Ramos wants €10m/year.
 

Marca | Cristiano Ronaldo and Karim Benzema are Real Madrid's two longest-serving 'galácticos'.


-Ronaldo and Benzema are heading towards their seventh season at the Bernabéu, quite a feat for a 'galáctico'.


 

AS (19-06-2015)

"Bsle wants to play behind the 9"

 

@ElPartododelas12 | The contract renewal talks between Florentino Perez and Ramos have broken down.


- Perez is offering him €7m/year but Ramos wants €10m/year.

HE IS NOT WORTH 10m, Tell him to Vamoose!
 
Rivers was on a roll with them 3s vs the Turks in the Euroleague. Another performance like that and we take Endesa home too.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…