Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
He was trying the Isco way, I think he's not bad lakini kupata namba los blanco inabidi akomae sana. Sema timu yao nimeipenda wote ni watoto halafu walimkamata Ibra vizuri.
Nazungumzia msimu huu ulioisha majuzi.....Real Madrid ni vibonde wa Juventus kabla hata Anceloti hajatua Madrid ,mmeasahau kina Del Pierro na Nedved walivyokuwa wanawafunga
Rincon [COPE]: "You may think it's a joke
,but this player (Pique) is a great footballer,
but he's not a great person."
Pique should say sorry mbele ya public kama alivyofanya Eto'o mwaka 2009
He truly is his Papa's Hijo. Greatly taken,tho missed.
No need man, let him be his stupidself.
That was classy one. Kama unakumbuka pelnaty ya Pirlo against England, Euro 2012. Ndio inataka kufanana na hii sasa.
Nadhani inafanana na ya dingi yake aliyoipiga kwenye final ya World Cup 2006.