pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,285
- 3,847
Comeback ya Bayern tu ndio unyama, huyu yamemshindaDaah nilishangilia nikajua comeback inakuja lakini wapi
View attachment 3567509
Mbio za ubingwa zimekuwa ngumu
View attachment 3567513
Mwenyewe leo nimekwama Mzee, waje tu wadau watusaidie.Wazee mwenye link naomba
Doh...aiseeMwenyewe leo nimekwama Mzee, waje tu wadau watusaidie.
Nimepata hiyo hapo juuMwenyewe leo nimekwama Mzee, waje tu wadau watusaidie.
Shukran sana MkuuNimepata hiyo hapo juu