HT: Tumecheza vzr kwa kutengeneza nafasi nyingi zakufunga,japokuwa tulikuwa na kitete hatukuweza kuzitumia vzr,ungekuta tuna goal kama 4 hv hadi wakat huu wa mapumziko,mathalani tungekuwa na Gonzalo hapo anajua kukwamisha mpira sana wavuni.
Huku nyuma leo Rudiger anaongoza kwa kukaba na macho,umakini unahitaji sana second half.