Dogo alikuwa anazunguka uwanja mzima!! Ni vile bado hana mwili wa kupambana kihivyo, ila kiukweli alijitahidi sana!! Hata wale wenzake walioingia pia walijitajidi, hata mpira uliosababisha goli ulianzia kwa yule dogo baada ya kufanya kumpokonya mpinzani mpira!