Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tuko nae Mourinho kwenye hii play off, Real Madrid wakifika hapa wanakuwa tofauti
Kuna mabadiliko kidogo dhidi ya team waliyokutana nayo siku kadhaa zilizopita, kwanza morale ya team ipo juu, pili team ina balance, maana tunacheza viungo watatu wakabaji kisha Guler amepewa free role nyuma ya washambuliaji, kazi yake ni ku-link flow tu ya team!!
Tukutane hiyo baadae!! HalaMadrid!!
 
Tumeenda mapumziko bila bila, ila nimeridhika na kiwango cha wachezaji wetu, wamecheza vizuri imebaki sasa wamalizie kazi nzuri walioifanya kwa kupata goli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…