Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hii line-up ya leo ni mzigo kwa Alonso, kiungo hakuna kitu, beki line ndio kabisaa hakuna jambo, wamempa Militao mzigo mkubwa mpka kaumia, Carreras tangu lini amekuwa beki wa kati? Unaona kabisa hayupo aware na majukumu yake, ni afadhali Tchouameni angecheza hiyo nafasi, ila hapa ni kutaka kujiumiza tu.
 
Hiki kipigo cha leo ni cha kujitakia kiukweli, Alonso ninaona bado hajisomi, Real Madrid sio team ya kujengwa ni team ya matokeo, asije kushangaa akitupiwa virago!!
 
Xabi Alonso hamna kocha humu yaani talent zote hizi anashindwa kuwa solid anapigwa 2 Bernabeu? Bure kabisa
Wale vijana wamemshinda nguvu, ukiniambia sabqbu ya kumwanzisha Alvaro Carreras badala ya Rudiger sielewi, anahangaika na akina Valverde waliochoka anamweka Camavinga bench, hata Ceballos angeweza kucheza vizuri kuliko Bellingham ila ndio hivyo hana uthubutu wa kuamua, ama kuna kupangiana team huko kama Bongo?
 
Xabi kocha la maana kabisa.

Tunaye na tunatamba nae.
 
Hiki kipigo cha leo ni cha kujitakia kiukweli, Alonso ninaona bado hajisomi, Real Madrid sio team ya kujengwa ni team ya matokeo, asije kushangaa akitupiwa virago!!
Xabi Alonso hamna kocha humu yaani talent zote hizi anashindwa kuwa solid anapigwa 2 Bernabeu? Bure kabisa
Tangu jana najiuliza aliwezaje kuchukua ubingwa na Bayaern04 bila kufungwa, nakosa majibu aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…